Mathayo 25:1 BHN

1 “Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.

Kusoma sura kamili Mathayo 25

Mtazamo Mathayo 25:1 katika mazingira