Mathayo 25:21 BHN

21 Bwana wake akamwambia, ‘Vema, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakukabidhi makubwa. Njoo ufurahi pamoja na bwana wako.’

Kusoma sura kamili Mathayo 25

Mtazamo Mathayo 25:21 katika mazingira