35 Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha;
Kusoma sura kamili Mathayo 25
Mtazamo Mathayo 25:35 katika mazingira