Mathayo 25:37 BHN

37 Hapo, hao watu wema watamjibu mfalme ‘Bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji?

Kusoma sura kamili Mathayo 25

Mtazamo Mathayo 25:37 katika mazingira