Mathayo 26:25 BHN

25 Yuda, ambaye ndiye aliyetaka kumsaliti, akamwuliza, “Mwalimu! Je, ni mimi?” Yesu akamjibu, “Wewe umesema.”

Kusoma sura kamili Mathayo 26

Mtazamo Mathayo 26:25 katika mazingira