Mathayo 26:31 BHN

31 Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu wa leo, nyinyi nyote mtakuwa na mashaka nami, maana Maandiko Matakatifu yasema:‘Nitampiga mchungaji,na kondoo wa kundi watatawanyika.’

Kusoma sura kamili Mathayo 26

Mtazamo Mathayo 26:31 katika mazingira