Mathayo 26:35 BHN

35 Petro akamwambia, “Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.

Kusoma sura kamili Mathayo 26

Mtazamo Mathayo 26:35 katika mazingira