Mathayo 27:23 BHN

23 Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”

Kusoma sura kamili Mathayo 27

Mtazamo Mathayo 27:23 katika mazingira