Mathayo 27:51 BHN

51 Hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka;

Kusoma sura kamili Mathayo 27

Mtazamo Mathayo 27:51 katika mazingira