11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia.
Kusoma sura kamili Mathayo 28
Mtazamo Mathayo 28:11 katika mazingira