Mathayo 28:15 BHN

15 Wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.

Kusoma sura kamili Mathayo 28

Mtazamo Mathayo 28:15 katika mazingira