Mathayo 28:9 BHN

9 Mara, Yesu akakutana nao, akasema: “Salamu.” Hao wanawake wakamwendea, wakapiga magoti mbele yake, wakashika miguu yake.

Kusoma sura kamili Mathayo 28

Mtazamo Mathayo 28:9 katika mazingira