15 Lakini Yesu akamjibu, “Acha tu iwe hivyo kwa sasa, maana ndivyo inavyofaa tuyatekeleze yale yote Mungu anayotaka.” Hapo Yohane akakubali.
Kusoma sura kamili Mathayo 3
Mtazamo Mathayo 3:15 katika mazingira