Mathayo 3:4 BHN

4 Yohane alivaa vazi lililoshonwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.

Kusoma sura kamili Mathayo 3

Mtazamo Mathayo 3:4 katika mazingira