Mathayo 4:16 BHN

16 Watu waliokaa gizaniwameona mwanga mkubwa.Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo,mwanga umewaangazia!”

Kusoma sura kamili Mathayo 4

Mtazamo Mathayo 4:16 katika mazingira