Mathayo 5:47 BHN

47 Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata watu wasiomjua Mungu nao hufanya vivyo hivyo.

Kusoma sura kamili Mathayo 5

Mtazamo Mathayo 5:47 katika mazingira