Mathayo 8:11 BHN

11 Basi, nawaambieni kwamba watu wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaka na Yakobo katika ufalme wa mbinguni.

Kusoma sura kamili Mathayo 8

Mtazamo Mathayo 8:11 katika mazingira