13 Kisha Yesu akamwambia huyo jemadari Mroma, “Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini.” Na mtumishi wake akapona saa ileile.
Kusoma sura kamili Mathayo 8
Mtazamo Mathayo 8:13 katika mazingira