17 Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie:“Yeye mwenyewe ameuchukua udhaifu wetu,ameyabeba magonjwa yetu.”
Kusoma sura kamili Mathayo 8
Mtazamo Mathayo 8:17 katika mazingira