Mathayo 8:26 BHN

26 Yesu akawaambia, “Enyi watu wenye imani haba; mbona mnaogopa?” Basi, akainuka, akaukemea upepo na lile ziwa; kukawa shwari kabisa.

Kusoma sura kamili Mathayo 8

Mtazamo Mathayo 8:26 katika mazingira