Mathayo 9:11 BHN

11 Mafarisayo walipoona hayo, wakawaambia wanafunzi wake, “Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watozaushuru na wenye dhambi?”

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:11 katika mazingira