14 Kisha wanafunzi wa Yohane Mbatizaji walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?”
Kusoma sura kamili Mathayo 9
Mtazamo Mathayo 9:14 katika mazingira