Mathayo 9:20 BHN

20 Mama mmoja, mgonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, alimfuata Yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake.

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:20 katika mazingira