Tito 1:3 BHN

3 na wakati ufaao ulipowadia, akaudhihirisha katika ujumbe wake. Mimi nilikabidhiwa ujumbe huo niutangaze kufuatana na amri ya Mungu, Mwokozi wetu.

Kusoma sura kamili Tito 1

Mtazamo Tito 1:3 katika mazingira