Tito 1:6 BHN

6 Mzee wa kanisa anapaswa kuwa mtu asiye na hatia; aliye na mke mmoja tu, na watoto wake wanapaswa kuwa waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.

Kusoma sura kamili Tito 1

Mtazamo Tito 1:6 katika mazingira