12 Neema hiyo yatufunza kuachana na uovu wote na tamaa za kidunia; tuwe na kiasi, tuishi maisha adili na ya kumcha Mungu katika ulimwengu huu wa sasa,
Kusoma sura kamili Tito 2
Mtazamo Tito 2:12 katika mazingira