Tito 3:3 BHN

3 Maana, wakati mmoja sisi tulikuwa wapumbavu, wakaidi na wapotovu. Tulikuwa watumwa wa tamaa na anasa za kila aina. Tuliishi maisha ya uovu na wivu; watu walituchukia nasi tukachukiana.

Kusoma sura kamili Tito 3

Mtazamo Tito 3:3 katika mazingira