Tito 3:9 BHN

9 Lakini jiepushe na ubishi wa kipumbavu, ugomvi na mabishano juu ya sheria. Mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.

Kusoma sura kamili Tito 3

Mtazamo Tito 3:9 katika mazingira