11 Katika kuungana na Kristo, sisi tumerithishwa wokovu kama tulivyopangiwa kadiri ya azimio lake Mungu atekelezaye kila kitu kulingana na uamuzi na matakwa yake.
Kusoma sura kamili Waefeso 1
Mtazamo Waefeso 1:11 katika mazingira