14 Huyu Roho ni dhamana ya kupata yote yale Mungu aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba Mungu atawakomboa kabisa wote walio wake. Tuusifu utukufu wake!
Kusoma sura kamili Waefeso 1
Mtazamo Waefeso 1:14 katika mazingira