Waefeso 1:18 BHN

18 Namwomba Mungu aifunue mioyo yenu iweze kuuona mwanga wake, mpate kutambua lile tumaini alilowaitieni na utukufu mkuu wa zawadi alizowawekea watu wake,

Kusoma sura kamili Waefeso 1

Mtazamo Waefeso 1:18 katika mazingira