Waefeso 1:9 BHN

9 Mungu alitekeleza kile alichonuia, akatujulisha mpango wake uliofichika, ambao alikuwa ameazimia kuutekeleza kwa njia ya Kristo.

Kusoma sura kamili Waefeso 1

Mtazamo Waefeso 1:9 katika mazingira