2 Wakati ule mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa mnamtii mtawala wa pepo wenye nguvu wa anga, pepo ambao huwatawala sasa watu wasiomtii Mungu.
Kusoma sura kamili Waefeso 2
Mtazamo Waefeso 2:2 katika mazingira