Waefeso 3:2 BHN

2 Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema yake, alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu.

Kusoma sura kamili Waefeso 3

Mtazamo Waefeso 3:2 katika mazingira