Waefeso 3:5 BHN

5 Zamani watu hawakujulishwa siri hiyo; lakini sasa Mungu amewajulisha mitume na manabii wake watakatifu kwa njia ya Roho.

Kusoma sura kamili Waefeso 3

Mtazamo Waefeso 3:5 katika mazingira