Waefeso 3:8 BHN

8 Mimi ni mdogo kuliko watu wote wa Mungu; lakini amenijalia neema yake, ili niwahubirie watu wa mataifa utajiri wake Kristo usiopimika;

Kusoma sura kamili Waefeso 3

Mtazamo Waefeso 3:8 katika mazingira