Waefeso 4:24 BHN

24 Vaeni hali mpya ya utu ambayo imeumbwa kwa mfano wa Mungu na ambayo hujionesha katika maisha ya kweli ya uadilifu na utakatifu.

Kusoma sura kamili Waefeso 4

Mtazamo Waefeso 4:24 katika mazingira