Waefeso 5:2 BHN

2 Upendo uongoze maisha yenu kama vile Kristo alivyotupenda, na kwa ajili yetu akajitoa mwenyewe kama tambiko yenye harufu nzuri na sadaka impendezayo Mungu.

Kusoma sura kamili Waefeso 5

Mtazamo Waefeso 5:2 katika mazingira