Waefeso 6:12 BHN

12 Maana vita vyetu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu, wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:12 katika mazingira