Waefeso 6:20 BHN

20 Mimi ni balozi kwa ajili ya Injili hiyo ingawa sasa niko kifungoni. Ombeni, basi, ili niweze kuwa hodari katika kuitangaza kama inipasavyo.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:20 katika mazingira