Waefeso 6:23 BHN

23 Ninawatakieni nyinyi ndugu amani, upendo na imani kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo.

Kusoma sura kamili Waefeso 6

Mtazamo Waefeso 6:23 katika mazingira