Wafilipi 1:1 BHN

1 Mimi Paulo na Timotheo, watumishi wa Yesu Kristo, tunawaandikia nyinyi watu wa Mungu huko Filipi ambao mmeunganishwa na Kristo Yesu, pamoja na viongozi na wasaidizi wa kanisa.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:1 katika mazingira