Wafilipi 1:14 BHN

14 Na huku kuweko kwangu kifungoni kumewafanya ndugu wengi kuwa na imani kwa Bwana, hata wanazidi kuwa hodari katika kuutangaza ujumbe wa Mungu bila hofu.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:14 katika mazingira