Wafilipi 1:20 BHN

20 Hamu yangu kubwa na tumaini langu ni kwamba kwa vyovyote sitashindwa katika kutimiza wajibu wangu, bali nitakuwa na moyo thabiti kila wakati na hasa wakati huu, ili kwa maisha yangu yote, niwapo hai au nikifa, nimpatie Kristo heshima.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:20 katika mazingira