Wafilipi 1:28 BHN

28 Msiwaogope maadui zenu, bali muwe hodari daima, na hiyo itawathibitishia kwamba wao watashindwa, nanyi mtashinda kwani Mungu mwenyewe ndiye anayewapeni ushindi.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:28 katika mazingira