Wafilipi 1:30 BHN

30 Sasa mwaweza kushirikiana nami katika kupigana vita. Vita hivi ni vile mlivyoona nikipigana pale awali na ambavyo bado napigana sasa kama mnavyosikia.

Kusoma sura kamili Wafilipi 1

Mtazamo Wafilipi 1:30 katika mazingira