Wafilipi 2:16 BHN

16 mkishika imara ujumbe wa uhai. Na hapo ndipo nami nitakapokuwa na sababu ya kujivunia katika siku ile ya Kristo, kwani itaonekana dhahiri kwamba bidii yangu na kazi yangu havikupotea bure.

Kusoma sura kamili Wafilipi 2

Mtazamo Wafilipi 2:16 katika mazingira