Wafilipi 4:12 BHN

12 Najua hali ya kutokuwa na vitu na hali ya kuwa na vingi. Nimejizoeza kuridhika katika kila hali na mahali; niwe nina cha kutosha au nina njaa; iwe nina ziada au nimepungukiwa.

Kusoma sura kamili Wafilipi 4

Mtazamo Wafilipi 4:12 katika mazingira