Wagalatia 1:4 BHN

4 Kristo alijitoa mwenyewe kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na mapenzi ya Mungu wetu na Baba, ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu mbaya wa sasa.

Kusoma sura kamili Wagalatia 1

Mtazamo Wagalatia 1:4 katika mazingira