Wagalatia 2:1 BHN

1 Baada ya miaka kumi na minne, nilikwenda tena Yerusalemu pamoja na Barnaba; nilimchukua pia Tito pamoja nami.

Kusoma sura kamili Wagalatia 2

Mtazamo Wagalatia 2:1 katika mazingira